Afya ya akili
Kliniki ya Afya ya Akili inafanyika Jumatano
Muda saa 07:30 asubuhi mpaka 15:30 mchana
Huduma
-Utoaji wa dawa za kifafa , Sonoma (Msongo wa mawazo) na Magonjwa mengine ya afya ya akili.
-Tunatoa elimu ya Afya kuhusu madawa ya kulevya na magonjwa ya Afya ya akili