mtwara regional referral hospital
(ligula RRH)

Tiba ya watoto

Posted on: May 5th, 2024
  • Tunalaza na tunatibu magonjwa ya watoto
  • Upimaji wa TB
  • Upimaji wa VVU kwa wazazi na watoto
  • kliniki ya magonjwa ya nje kila Jumanne na Alhamisi
  • Tuna Screen/Kupima na Kutibu unyafuzi na utapia mlo
  • Tunatoa ushauri kwa watoto waliofanyiwa ukatili (VAC) na kuwasaidia kupata huduma stahiki.

Muda wa kazi ni  Masaa 24